\v=20 \v~=Mfuate haki na haki peke yake, ili mweze kuishi na kuimiliki nchi ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu anawapa. \¬v \¬p