\v=8 \v~=Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu na siku ya saba fanyeni kusanyiko kwa ajili ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu na msifanye kazi. \¬v \¬p