\p \c#=17 \v=1 \v~=Msimtolee \nd Bwana\nd* Mungu wenu dhabihu ya maksai au kondoo ambaye ana dosari yoyote au hitilafu ndani yake, kwa kuwa hilo litakuwa chukizo kwake. \¬v \¬p