\v=10 \v~=Ni lazima mtende sawasawa na maamuzi watakayowapa mahali \nd Bwana\nd* atakapopachagua. Kuweni waangalifu kufanya kila kitu watakachowaongoza kufanya. \¬v