\v=12 \v~=Mwanaume atakayeonyesha dharau kwa mwamuzi au kwa kuhani ambaye amewekwa kumtumikia \nd Bwana\nd* Mungu wenu lazima auawe. Lazima mwondoe uovu katika Israeli. \¬v