\v=15 \v~=kuweni na uhakika wa kumweka mfalme juu yenu ambaye \nd Bwana\nd* Mungu wenu atamchagua. Ni lazima atoke miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msimweke mgeni juu yenu ambaye si ndugu wa Kiisraeli. \¬v