\v=12 \v~=Mtu yeyote afanyaye mambo haya ni chukizo kwa \nd Bwana\nd*, tena ni kwa sababu ya matendo haya ya kuchukiza wayafanyayo ndiyo maana \nd Bwana\nd* Mungu wenu atayafukuza mataifa hayo mbele yenu. \¬v