\v=15 \v~=\nd Bwana\nd* Mungu wenu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msikilizeni yeye. \¬v