\v=16 \v~=Kwa kuwa hivi ndivyo mlivyomwomba \nd Bwana\nd* Mungu wenu kule Horebu siku ile ya kusanyiko, wakati mliposema, “Na tusiisikie sauti ya \nd Bwana\nd* Mungu wetu, wala kuuona moto huu mkubwa tena, ama sivyo tutakufa.” \¬v \¬p