\v=22 \v~=Ikiwa kile nabii anachotangaza kwa jina la \nd Bwana\nd* hakikutokea au kutimia, huo ni ujumbe ambao \nd Bwana\nd* hakusema. Nabii huyo amesema kwa ujuaji. Msimwogope huyo. \¬v \¬p \¬c