\v=7 \v~=anaweza akahudumu katika jina la \nd Bwana\nd* Mungu wake kama Walawi wenzake wote wanaohudumu hapo mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v