\p \v=14 \v~=Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi \nd Bwana\nd* Mungu wako anayowapa kuimiliki. \¬v \¬p