\v=2 \v~=ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu anawapa kuimiliki. \¬v