\v=21 \v~=Tazama, \nd Bwana\nd* Mungu wenu amewapa nchi. Pandeni mkaimiliki kama \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zenu, alivyowaambia. Msiogope, wala msikate tamaa.” \¬v \¬p