\p \v=3 \v~=Katika mwaka wa arobaini, siku ya kwanza ya mwezi wa kumi na moja, Mose aliwatangazia Waisraeli yale yote \nd Bwana\nd* aliyomwamuru kuwahusu. \¬v