\v=31 \v~=na pia huko jangwani. Huko mliona jinsi \nd Bwana\nd* Mungu wenu alivyowachukua, kama baba amchukuavyo mwanawe, katika njia yote mliyoiendea mpaka mkafika mahali hapa.” \¬v \¬p