\v=36 \v~=isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune. Yeye ataiona, nami nitampa yeye na wazao wake nchi aliyoikanyaga kwa miguu, kwa sababu alimfuata \nd Bwana\nd* kwa moyo wote.” \¬v \¬p