\p \v=41 \v~=Ndipo mkanijibu, “Tumemtenda \nd Bwana\nd* dhambi. Tutakwenda kupigana, kama \nd Bwana\nd* Mungu wetu alivyotuamuru.” Hivyo kila mmoja wenu akachukua silaha zake, huku mkifikiri kuwa ni rahisi kukwea katika nchi ya vilima. \¬v \¬p