\p \v=43 \v~=Hivyo niliwaambia, lakini hamkutaka kusikia. Mliasi dhidi ya amri ya \nd Bwana\nd*, na katika kiburi chenu mlienda katika nchi ya vilima. \¬v