\v=45 \v~=Mlirudi na kulia mbele za \nd Bwana\nd*, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali. \¬v