\v=8 \v~=Tazama, nimewapa ninyi nchi hii. Ingieni mkaimiliki nchi ambayo \nd Bwana\nd* aliapa kuwa angaliwapa baba zenu, Abrahamu, Isaki na Yakobo, pamoja na vizazi vyao baada yao.” \¬v \¬p