\v=14 \v~=Kwa upande wa wanawake, watoto, mifugo na kila kitu kingine chochote ndani ya huo mji, mnaweza kuvichukua kama nyara kwa ajili yenu. Nanyi mnaweza kuzitumia hizo nyara ambazo \nd Bwana\nd* Mungu wenu amewapa kutoka kwa adui zenu. \¬v