\p \v=16 \v~=Hata hivyo, katika miji ya mataifa ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu anawapa kama urithi, msiache kitu chochote hai kinachopumua. \¬v