\v=19 \v~=Watamtoza shekeli mia moja\f + \fr 22:19 \ft Shekeli 100 za fedha ni sawa na kilo moja.\f* za fedha na kupewa wazazi wa msichana, kwa sababu mwanaume huyu amempa bikira wa Kiisraeli jina baya. Ataendelea kuwa mke wake; kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake. \¬v \¬p