\v=29 \v~=mwanaume atamlipa baba wa msichana shekeli hamsini\f + \fr 22:29 \ft Shekeli 50 za fedha ni sawa na gramu 600.\f* za fedha. Ni lazima amwoe huyo msichana, kwa maana amemfanyia jeuri. Kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake. \¬v \¬p