\p \v=5 \v~=Haimpasi mwanamke kuvaa nguo za kiume wala mwanaume kuvaa nguo za kike, kwa maana \nd Bwana\nd* Mungu wenu anachukia yeyote ambaye hufanya hivi. \¬v \¬p