\v=11 \v~=Lakini jioni ikikaribia ataoga, na baada ya jua kuzama ataingia tena kambini. \¬v \¬p