\p \v=2 \v~=Mtu yeyote ambaye amezaliwa kwenye ndoa isiyo halali au wazao wake wasiingie kwenye kusanyiko la \nd Bwana\nd*, hata mpaka kizazi cha kumi. \¬v \¬p