\v=20 \v~=Unaweza kumtoza mgeni riba, lakini siyo nduguyo Mwisraeli, ili kwamba \nd Bwana\nd* Mungu wako akubariki katika kila kitu unachoweka mkono katika nchi unayoingia kuimiliki. \¬v \¬p