\p \v=21 \v~=Ukiweka nadhiri kwa \nd Bwana\nd* Mungu wako, usichelewe kuitimiza, kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wako atakudai, nawe utakuwa na hatia ya dhambi. \¬v