\p \v=3 \v~=Hapatakuwa na Mwamoni au Mmoabu au yeyote wa wazao wao atakayeruhusiwa kuingia katika kusanyiko la \nd Bwana\nd*, hata mpaka kizazi cha kumi. \¬v