\v=4 \v~=Kwa kuwa hawakuja kuwalaki wakiwa na mkate na maji mlipokuwa njiani mlipotoka Misri, tena walimwajiri Balaamu mwana wa Beori kutoka Pethori iliyoko Aramu-Naharaimu\f + \fr 23:4 \ft Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi.\f* ili kuwalaani ninyi. \¬v