\v=13 \v~=Rudisha vazi lake kabla ya machweo ya jua ili apate kulilalia. Kisha atakushukuru na kitaonekana kama kitendo cha haki mbele za \nd Bwana\nd* Mungu wako. \¬v \¬p