\v=15 \v~=Mlipe ujira wake kila siku kabla ya jua kutua, kwa sababu yeye ni maskini na anautegemea ujira huo. La sivyo, anaweza kumlilia \nd Bwana\nd* dhidi yako, nawe ukapata hatia ya dhambi. \¬v \¬p