\v=18 \v~=Kumbukeni kwamba mlikuwa watumwa huko Misri, naye \nd Bwana\nd* Mungu wenu akawakomboa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ninawaamuru kutenda hili. \¬v \¬p