\p \v=19 \v~=Unapovuna shamba lako na ukasahau mganda, usirudi kuuchukua. Acha kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane, ili \nd Bwana\nd* Mungu wako aweze kukubariki wewe katika kazi zote za mikono yako. \¬v