\v=4 \v~=basi yule mume wake wa kwanza, ambaye alimpa talaka, haruhusiwi kumwoa tena baada ya mwanamke huyo kuwa najisi. Hayo yatakuwa machukizo machoni pa \nd Bwana\nd*. Usilete dhambi juu ya nchi ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wako anakupa kama urithi. \¬v \¬p