\v=15 \v~=Ni lazima uwe na uzito na vipimo sahihi na vya haki, ili upate kuishi maisha marefu katika nchi anayokupa \nd Bwana\nd* Mungu wako. \¬v