\v=11 \v~=Kisha wewe pamoja na Walawi na wageni wote walioko miongoni mwenu mtafurahi katika vitu vyote vizuri ambavyo \nd Bwana\nd* Mungu wenu amewapa pamoja na wa nyumbani mwenu. \¬v \¬p