\v=14 \v~=Sijala sehemu iliyowekwa wakfu wakati nilipokuwa nikiomboleza, wala sijaondoa mojawapo wakati nilipokuwa najisi, wala sijatoa sehemu yake yoyote kwa wafu. Nimemtii \nd Bwana\nd* Mungu wangu; nimefanya kila kitu ulichoniamuru. \¬v