\v=17 \v~=Umetangaza leo kwamba \nd Bwana\nd* ndiye Mungu wako na kwamba utafuata njia zake, kwamba utayashika maagizo yake, amri zake na sheria zake nawe utamtii. \¬v