\v=2 \v~=chukueni baadhi ya mavuno ya kwanza ya yale yote mtakayozalisha kutoka udongo wa nchi ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu anawapa na mweke kwenye kapu. Kisha uende mahali ambapo \nd Bwana\nd* Mungu wako atapachagua kuwa makao kwa ajili ya Jina lake \¬v