\v=8 \v~=Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akatutoa nchi ya Misri kwa mkono wenye nguvu na ulionyooshwa, pamoja na utisho mkuu, ishara za miujiza na maajabu. \¬v