\pm \v=15 \v~=“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa \nd Bwana\nd*, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” \¬pm \pmr \p~<