\v=3 \v~=Andikeni juu yake maneno yote ya sheria hii wakati mtakapokuwa mmevuka na kuingia katika nchi awapayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu, nchi itiririkayo maziwa na asali, kama vile \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zenu, alivyowaahidi. \¬v