\v=5 \v~=Huko mjengeeni \nd Bwana\nd* Mungu wenu madhabahu, madhabahu ya mawe. Msitumie kifaa chochote cha chuma juu yake. \¬v