\v=6 \v~=Jengeni madhabahu ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu kwa mawe ya shambani, na mtoe sadaka za kuteketezwa juu yake kwa \nd Bwana\nd* Mungu wenu. \¬v