\v=13 \v~=\nd Bwana\nd* atakufanya kichwa, wala si mkia. Kama utazingatia maagizo ya \nd Bwana\nd* Mungu wako ninayokupa siku hii ya leo na kuyafuata kwa bidii, daima utakuwa juu, kamwe hutakuwa chini. \¬v