\v=27 \v~=\nd Bwana\nd* atakupiga kwa majipu ya Misri na kwa vidonda vitokavyo usaha na kuwashwa, ambako huwezi kuponywa. \¬v