\v=35 \v~=\nd Bwana\nd* atayapiga magoti yako na miguu yako kwa majipu yenye maumivu makali yasiyoponyeka, yakienea kutoka nyayo za miguu yako hadi utosini. \¬v \¬p